Daniel 11:37
Hataonyesha heshima kwa miungu ya baba zake au kwa yule aliyetamaniwa na wanawake, wala hatajali mungu yeyote, bali atajikweza mwenyewe juu yao wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:5Kwa maana Mungu anajua ya kuwa wakati mtakapoyala, macho yenu yatafumbuliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.”
Deuteronomy 5:21Usitamani mke wa jirani yako. Usitamani nyumba ya jirani yako au shamba lake, mtumishi wake wa kiume au wa kike, ngʼombe au punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.”
Song of Solomon 7:10Mimi ni mali ya mpenzi wangu, 2 nayo shauku yake ni juu yangu. 1
Isaiah 14:14Nitapaa juu kupita mawingu, 2 nitajifanya kama Yeye Aliye Juu Sana.” 1
Ezekiel 28:2“Mwanadamu, mwambie mfalme wa Tiro, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Kwa sababu moyo wako umejivuna 2 na umesema, “Mimi ni mungu; 1 nami ninaketi katika kiti cha enzi cha mungu 2 katika moyo wa bahari.” 1 Lakini wewe ni mwanadamu, wala si mungu, 2 ingawa unafikiri kuwa una hekima kama mungu. 1
1 Timothy 4:3Wao huwakataza watu wasioe na kuwaagiza wajiepushe na vyakula fulani, ambavyo Mungu aliviumba ili vipokewe kwa shukrani na wale wanaoamini na kuijua kweli.