The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 11 › Daniel 11:43

Daniel 11:43

Atamiliki hazina za dhahabu, fedha na utajiri wote wa Misri, pamoja na Walibia na Wakushi kwa kujisalimisha.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But he shall have power over the treasures of gold and of silver, and over all the precious things of Egypt: and the Libyans and the Ethiopians shall be at his steps.

In Context

42Atapanua mamlaka yake juu ya nchi nyingi; hata Misri haitaepuka.

44Lakini taarifa kutoka mashariki na kaskazini zitamshtua, naye ataondoka kwa ghadhabu nyingi ili kuangamiza na kuharibu kabisa wengi.

Read all of Daniel 11

Cross References

Judges 4:10mahali ambapo Baraka aliwaita Zabuloni na Naftali. Watu 10,000 wakamfuata Baraka, na Debora pia akaenda pamoja naye.

Jeremiah 46:9Songeni mbele, enyi farasi! 2 Endesheni kwa ukali, enyi magari ya farasi, 1 Endeleeni mbele, enyi mashujaa: 2 watu wa Kushi + 46:9 Kushi ni Naili ya Juu; sasa ni Sudan. na Putu + 46:9 Putu sasa ni Libya. wachukuao ngao, 2 watu wa Ludi + 46:9 Nchi iliyo Afrika ya Kaskazini, magharibi ya Mto Naili; sasa ni Libya. wavutao upinde. 1

Ezekiel 38:5Uajemi, Kushi + 38:5 Kushi ni Ethiopia. na Putu watakuwa pamoja nao, wote wakiwa na ngao na kofia za chuma,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 11:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 11:42Daniel 11Daniel 11:44 →