Yeremia 46:9
Songeni mbele, enyi farasi! 2 Endesheni kwa ukali, enyi magari ya farasi, 1 Endeleeni mbele, enyi mashujaa: 2 watu wa Kushi + 46:9 Kushi ni Naili ya Juu; sasa ni Sudan. na Putu + 46:9 Putu sasa ni Libya. wachukuao ngao, 2 watu wa Ludi + 46:9 Nchi iliyo Afrika ya Kaskazini, magharibi ya Mto Naili; sasa ni Libya. wavutao upinde. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:6Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1
1 Chronicles 1:11Misraimu akawazaa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
Jeremiah 30:5“Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Vilio vya woga vinasikika: 2 hofu kuu, wala si amani. 1
Ezekiel 27:10“ ‘Watu wa Uajemi, Ludi na Putu 2 walikuwa askari katika jeshi lako. 1 Walitundika ngao zao na chapeo zao kwenye kuta zako, 2 wakileta fahari yako. 1
Ezekiel 30:5Kushi + 30:5 Kushi ndiyo Ethiopia. na Putu, Ludi na Arabia yote, Libya + 30:5 Libya ndiyo Kubu. na watu wa nchi ya Agano watauawa kwa upanga pamoja na Misri.
Nahum 3:9Kushi + 3:9 Kushi ni Ethiopia. na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka; 2 Putu na Libia walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye. 1