Daniel 12:9
Akajibu, “Danieli, enenda zako, kwa sababu maneno haya yamefungwa na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, Go thy way, Daniel: for the words are closed up and sealed till the time of the end.
In Context
8Nilisikia, lakini sikuelewa. Kwa hiyo nikauliza, “Bwana wangu, matokeo ya haya yote yatakuwa nini?”
Cross References
Isaiah 8:16Funga ushuhuda na kutia muhuri sheria 2 miongoni mwa wanafunzi wangu. 1
Daniel 8:26“Maono kuhusu jioni na asubuhi ambayo umepewa ni kweli, lakini yatie muhuri maono haya, kwa maana yanahusu wakati mrefu ujao.”
Revelation 10:4Nazo zile radi saba zilipotoa ngurumo, nilitaka kuanza kuandika, lakini nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, “Yatie muhuri hayo yaliyosemwa na hizo radi saba na usiyaandike.”