Daniel 12:8
Nilisikia, lakini sikuelewa. Kwa hiyo nikauliza, “Bwana wangu, matokeo ya haya yote yatakuwa nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I heard, but I understood not: then said I, O my Lord, what shall be the end of these things?
In Context
Cross References
Daniel 10:14Sasa nimekuja kukuelezea mambo yatakayowatokea watu wako wakati ujao, kwa maana maono hayo yanahusu wakati ambao haujaja bado.”
Luke 18:34Wanafunzi wake hawakuelewa mambo haya, kwa kuwa maana yake ilikuwa imefichika kwao, nao hawakujua Yesu alikuwa anazungumzia nini. 1 Yesu Amponya Kipofu Karibu Na Yeriko (Mathayo 20:29-34; Marko 10:46-52)
Acts 1:7Yesu akawaambia, “Si juu yenu kujua nyakati na majira ambayo Baba ameyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.