The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 2 › Daniel 2:13

Daniel 2:13

Hivyo amri ikatolewa ya kuwaua wenye hekima, nao watu wakatumwa kuwatafuta Danieli na rafiki zake ili wawaue.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the decree went forth that the wise men should be slain; and they sought Daniel and his fellows to be slain.

In Context

12Jambo hili lilimkasirisha na kumghadhibisha mfalme mno hata kuagiza kuuawa kwa wenye hekima wote wa Babeli.

14Wakati Arioko, mkuu wa askari wa walinzi wa mfalme, alikuwa amekwenda kuwaua watu wenye hekima wa Babeli, Danieli akazungumza naye kwa hekima na busara.

Read all of Daniel 2

Cross References

Psalms 94:20Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe, 2 ule utawala uletao taabu kutokana na sheria zake? 1

Isaiah 10:1Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, 2 kwa wale watoao amri za kuonea, 1

Daniel 6:9Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 2:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 2:12Daniel 2Daniel 2:14 →