Isaiah 10:1
Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, 2 kwa wale watoao amri za kuonea, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 23:3nawe usimpendelee mtu maskini katika mashtaka yake.
1 Kings 21:13Kisha watu wawili wabaya kabisa wakaja wakaketi mkabala naye, nao wakaleta mashtaka dhidi ya Nabothi mbele ya watu, wakisema, “Nabothi amemlaani Mungu na mfalme.” Kwa hiyo wakamtoa nje na kumpiga kwa mawe hadi akafa.
Psalms 58:2La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, 2 na mikono yenu hupima jeuri duniani. 1
Isaiah 3:11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1
Isaiah 5:11Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema 2 wakikimbilia kunywa vileo, 1 wale wakawiao sana mpaka usiku, 2 mpaka wamewaka kwa mvinyo. 1
Isaiah 5:20Ole wao wanaoita ubaya ni wema, 2 na wema ni ubaya, 1 wawekao giza badala ya nuru, 2 na nuru badala ya giza, 1 wawekao uchungu badala ya utamu, 2 na utamu badala ya uchungu. 1