bible.software › Daniel › Daniel 2 › Daniel 2:24
Daniel 2:24
Ndipo Danieli akamwendea Arioko, ambaye mfalme alikuwa amemteua kuwaua wenye hekima wa Babeli, akamwambia, “Usiwaue wenye hekima wa Babeli. Nipeleke kwa mfalme, nami nitamfasiria ndoto yake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore Daniel went in unto Arioch, whom the king had ordained to destroy the wise men of Babylon: he went and said thus unto him; Destroy not the wise men of Babylon: bring me in before the king, and I will shew unto the king the interpretation.
In Context
23Ninakushukuru na kukuhimidi, 2 Ee Mungu wa baba zangu: 2 Umenipa hekima na uwezo, 1 umenijulisha kile tulichokuomba, 2 umetujulisha ndoto ya mfalme.” 1 Danieli Aifasiri Ndoto
25Arioko akampeleka Danieli kwa mfalme mara moja na kumwambia, “Nimempata mtu miongoni mwa watu wa uhamisho kutoka Yuda ambaye anaweza kumwambia mfalme maana ya ndoto yake.”
Read all of Daniel 2
Cross References
Daniel 2:14Wakati Arioko, mkuu wa askari wa walinzi wa mfalme, alikuwa amekwenda kuwaua watu wenye hekima wa Babeli, Danieli akazungumza naye kwa hekima na busara.
This Verse In Other Editions
Study Daniel 2:24