The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 2 › Daniel 2:23

Daniel 2:23

Ninakushukuru na kukuhimidi, 2 Ee Mungu wa baba zangu: 2 Umenipa hekima na uwezo, 1 umenijulisha kile tulichokuomba, 2 umetujulisha ndoto ya mfalme.” 1 Danieli Aifasiri Ndoto

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I thank thee, and praise thee, O thou God of my fathers, who hast given me wisdom and might, and hast made known unto me now what we desired of thee: for thou hast now made known unto us the king’s matter.

In Context

22Hufunua siri na mambo yaliyofichika; 2 anajua yale yaliyo gizani, 2 nayo nuru hukaa kwake. 1

24Ndipo Danieli akamwendea Arioko, ambaye mfalme alikuwa amemteua kuwaua wenye hekima wa Babeli, akamwambia, “Usiwaue wenye hekima wa Babeli. Nipeleke kwa mfalme, nami nitamfasiria ndoto yake.”

Read all of Daniel 2

Cross References

Genesis 32:9Ndipo Yakobo akaomba, “Ee Mungu wa baba yangu Abrahamu, Mungu wa baba yangu Isaki, Ee Bwana, ambaye uliniambia, ‘Rudi katika nchi yako na jamaa yako, nami nitakufanya ustawi,’

1 Kings 8:57Bwana Mungu wetu na awe pamoja nasi kama alivyokuwa na baba zetu, kamwe asituache wala kutukataa.

1 Chronicles 29:10Daudi akamhimidi Bwana mbele ya kusanyiko lote, akisema: 1 “Uhimidiwe wewe, Ee Bwana, 2 Mungu wa Israeli baba yetu, 2 tangu milele hata milele. 1

2 Chronicles 20:6akasema: “Ee Bwana, Mungu wa baba zetu, si wewe ndiwe uliye Mungu mbinguni? Si wewe ndiwe utawalaye juu ya falme zote za mataifa? Uweza na nguvu viko mkononi mwako, wala hakuna yeyote awezaye kushindana nawe.

Psalms 50:14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, 2 timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 1

Proverbs 8:14Ushauri na hukumu sahihi ni vyangu; 2 nina ufahamu na nina nguvu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 2:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 2:22Daniel 2Daniel 2:24 →