bible.software › Daniel › Daniel 2 › Daniel 2:8
Daniel 2:8
Ndipo mfalme akajibu, “Nina hakika kuwa mnajaribu kupata muda zaidi, kwa sababu mnatambua kuwa nimeamua hivi kwa uthabiti:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The king answered and said, I know of certainty that ye would gain the time, because ye see the thing is gone from me.
In Context
7Wakajibu kwa mara nyingine, “Mfalme na awaambie watumishi wake ndoto yake, nasi tutaifasiri.”
9Ikiwa hamtaniambia ndoto yangu, ipo adhabu moja tu kwenu. Mmefanya shauri kuniambia habari za kunipotosha na mambo maovu, mkitumaini kwamba hali itabadilika. Hivyo basi, niambieni hiyo ndoto, nami nitajua kuwa mwaweza kunifasiria.”
Read all of Daniel 2
Cross References
Colossians 4:5Enendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
This Verse In Other Editions
Study Daniel 2:8