Daniel 4:10
Haya ndiyo maono niliyoona nilipokuwa nimelala kitandani mwangu: Nilitazama, na mbele yangu ulisimama mti katikati ya nchi. Ulikuwa mrefu sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 10:33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1
Ezekiel 31:3Angalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni, 2 ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli; 1 ulikuwa mrefu sana, 2 kilele chake kilipita majani ya miti yote. 1
Daniel 4:20Mti uliouona, uliokua ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga na kuonekana duniani kote,