The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:33

Isaya 10:33

Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, the Lord, the LORD of hosts, shall lop the bough with terror: and the high ones of stature shall be hewn down, and the haughty shall be humbled.

In Context

32Siku hii ya leo watasimama Nobu; 2 watatikisa ngumi zao 1 kwa mlima wa Binti Sayuni, 2 kwa kilima cha Yerusalemu. 1

34Atakata vichaka vya msitu kwa shoka; 2 Lebanoni itaanguka mbele zake yeye Mwenye Nguvu.

Read all of Isaya 10

Cross References

2 Chronicles 32:21Naye Bwana akamtuma malaika ambaye aliangamiza wanajeshi wote, na viongozi na maafisa katika kambi ya mfalme wa Ashuru. Kwa hiyo, mfalme wa Ashuru akarudi nchini mwake kwa aibu. Naye alipokwenda katika hekalu la mungu wake, baadhi ya watoto wake wakamuua kwa upanga.

Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1

Isaiah 2:13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, 2 na mialoni yote ya Bashani, 1

Isaiah 18:5Kwa maana, kabla ya mavuno, 2 wakati wa kuchanua ukishapita 2 na maua yakawa zabibu zinazoiva, 1 atayakata machipukizi kwa mundu wa kupogolea matawi, 2 naye atakata na kuyaondoa matawi yaliyopanuka. 1

Isaiah 37:24Kupitia kwa wajumbe wako 2 umelundika matukano juu ya Bwana. 1 Nawe umesema, 2 ‘Kwa magari yangu mengi ya vita, 1 nimepanda juu ya vilele vya milima, 2 vilele vya juu sana katika Lebanoni. 1 Nami nimeiangusha mierezi yake mirefu, 2 misunobari yake iliyo bora sana. 1 Nimefikia sehemu zake zilizoinuka juu sana, 2 misitu yake iliyo mizuri sana. 1

Jeremiah 22:7Nitawatuma waharabu dhidi yako, 2 kila mtu akiwa na silaha zake, 1 nao watazikata boriti zako nzuri za mierezi 2 na kuzitupa motoni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:32Isaya 10Isaya 10:34 →