Daniel 4:17
“ ‘Uamuzi huu umetangazwa na walinzi, hukumu imetangazwa na watakatifu, ili walio hai wajue kuwa Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme zote za wanadamu, naye humpa yeyote amtakaye na kumtawaza juu yake hata yeye aliye mnyonge sana miongoni mwa wanadamu.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 9:16Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.
1 Kings 21:25(Hapajapata kamwe kuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza mwenyewe kutenda uovu machoni mwa Bwana, akiwa anachochewa na Yezebeli mkewe.
2 Kings 21:6Akamtoa kafara mwanawe mwenyewe katika moto, akafanya uchawi na uaguzi, na akataka shauri kwa wapiga ramli na kwa mizimu. Akafanya maovu mengi sana machoni mwa Bwana na kumghadhibisha.
Psalms 9:16Bwana anajulikana kwa haki yake, 2 waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 1
Psalms 75:6Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi 2 au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu. 1
Psalms 113:7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1