The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 113 › Zaburi 113:7

Zaburi 113:7

Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He raiseth up the poor out of the dust, and lifteth the needy out of the dunghill;

In Context

6ambaye huinama atazame chini 2 aone mbingu na nchi? 1

8huwaketisha pamoja na wakuu, 2 pamoja na wakuu wa watu wake. 1

Read all of Zaburi 113

Cross References

1 Samuel 2:8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1

2 Samuel 7:8“Sasa basi, mwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: Nilikutoa wewe kutoka machungani na kutoka kuandama kundi la kondoo na mbuzi ili kuwaongoza watu wangu Israeli.

Job 2:8Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.

Job 5:15Humwokoa mhitaji kutokana na upanga ulioko kinywani mwao; 2 huwaokoa kutokana na makucha ya wenye nguvu. 1

Psalms 22:15Nguvu zangu zimekauka kama kigae, 2 ulimi wangu umegandamana 2 na kaakaa la kinywa changu, 1 kwa sababu umenilaza 2 katika mavumbi ya kifo. 1

Psalms 107:41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, 2 na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 113:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 113:6Zaburi 113Zaburi 113:8 →