The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 4 › Daniel 4:3

Daniel 4:3

Ishara zake ni kuu aje, 2 na maajabu yake yana nguvu aje! 1 Ufalme wake ni ufalme wa milele; 2 enzi yake hudumu kutoka kizazi hadi kizazi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How great are his signs! and how mighty are his wonders! his kingdom is an everlasting kingdom, and his dominion is from generation to generation.

In Context

2Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara za miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia. 1

4Mimi, Nebukadneza, nilikuwa nyumbani katika jumba langu la kifalme, nikiwa ninaishi kwa raha na hali ya kufanikiwa.

Read all of Daniel 4

Cross References

Job 25:2“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; 2 yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 1

Psalms 71:19Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu, 2 wewe ambaye umefanya mambo makuu. 2 Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe? 1

Psalms 77:19Njia yako ilipita baharini, 2 mapito yako kwenye maji makuu, 2 ingawa nyayo zako hazikuonekana. 1

Psalms 92:5Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, 2 tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako! 1

Psalms 105:27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, 2 miujiza yake katika nchi ya Hamu. 1

Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 4:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 4:2Daniel 4Daniel 4:4 →