Job 25:2
“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; 2 yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Dominion and fear are with him, he maketh peace in his high places.
In Context
1Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu: 1
3Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? 2 Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake? 1
Cross References
1 Chronicles 29:11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1
Job 26:5“Wafu wako katika maumivu makuu, 2 wale walio chini ya maji na wale waishio ndani yake. 1
Psalms 66:3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! 2 Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba 2 adui wananyenyekea mbele zako. 1
Psalms 99:1Bwana anatawala, 2 mataifa na yatetemeke; 1 anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, 2 dunia na itikisike. 1
Isaiah 57:19nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji 2 katika Israeli. 1 Amani, amani, kwa wale walio mbali 2 na kwa wale walio karibu,” 2 asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 1
Daniel 4:34Mwisho wa huo wakati, mimi Nebukadneza, niliinua macho yangu kuelekea mbinguni, nazo fahamu zangu zikanirudia. Ndipo nikamsifu Yeye Aliye Juu Sana, nikamheshimu na kumhimidi yeye aishiye milele. 1 Utawala wake ni utawala wa milele; 2 ufalme wake hudumu kutoka kizazi na kizazi. 1