Daniel 6:21
Danieli akajibu, “Ee mfalme, uishi milele!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said Daniel unto the king, O king, live for ever.
In Context
Cross References
Nehemiah 2:3lakini nikamwambia mfalme, “Mfalme na aishi milele! Kwa nini uso wangu usiwe na huzuni wakati mji walipozikwa baba zangu umebaki magofu, na malango yake yameteketezwa kwa moto?”
Daniel 3:26Ndipo Nebukadneza akaukaribia mdomo wa ile tanuru iwakayo moto na kupaza sauti, “Shadraki, Meshaki na Abednego, watumishi wa Mungu Aliye Juu Sana, tokeni! Njooni hapa!” Ndipo Shadraki, Meshaki na Abednego wakatoka ndani ya moto.