The Bible Software
bible.softwareNehemiahNehemiah 2 › Nehemiah 2:3

Nehemiah 2:3

lakini nikamwambia mfalme, “Mfalme na aishi milele! Kwa nini uso wangu usiwe na huzuni wakati mji walipozikwa baba zangu umebaki magofu, na malango yake yameteketezwa kwa moto?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And said unto the king, Let the king live for ever: why should not my countenance be sad, when the city, the place of my fathers’ sepulchres, lieth waste, and the gates thereof are consumed with fire?

In Context

2Basi mfalme akaniuliza, “Kwa nini uso wako unaonekana una huzuni wakati wewe si mgonjwa? Jambo hili si kitu kingine bali ni huzuni ya moyo.” Niliogopa sana,

4Mfalme akaniambia, “Je, haja yako ni gani?” Ndipo nikaomba kwa Mungu wa mbinguni,

Read all of Nehemiah 2

Cross References

1 Kings 1:31Kisha Bathsheba akasujudu akipiga magoti mbele ya mfalme uso wake ukigusa ardhi akasema, “Bwana wangu Mfalme Daudi na aishi milele!”

2 Chronicles 28:27Ahazi akalala na baba zake na akazikwa katika Mji wa Yerusalemu, lakini hawakumleta kwenye makaburi ya wafalme wa Israeli. Naye Hezekia mwanawe akawa mfalme baada yake.

Nehemiah 1:3Wakaniambia, “Wale walionusurika kwenda uhamishoni, wale ambao wamerudi kwenye lile jimbo, wako katika taabu kubwa na aibu. Ukuta wa Yerusalemu umebomoka, na malango yake yamechomwa moto.”

Psalms 38:7Viuno vyangu vimejaa maumivu yaunguzayo, 2 hakuna afya mwilini mwangu. 1

Psalms 102:15Mataifa wataogopa jina la Bwana, 2 wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako. 1

Lamentations 2:9Malango yake yamezama ardhini, 2 makomeo yake ameyavunja na kuyaharibu. 1 Mfalme wake na wakuu wake wamepelekwa uhamishoni 2 miongoni mwa mataifa, 2 sheria haipo tena, 1 na manabii wake hawapati tena 2 maono kutoka kwa Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nehemiah 2:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nehemiah 2:2Nehemiah 2Nehemiah 2:4 →