The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 6 › Daniel 6:26

Daniel 6:26

“Natoa amri hii, kwamba katika kila sehemu ya ufalme wangu, lazima watu wamwogope na kumheshimu Mungu wa Danieli. 1 “Kwa maana yeye ni Mungu aliye hai, 2 naye hudumu milele, 1 ufalme wake hautaangamizwa, 2 nao utawala wake hauna mwisho. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I make a decree, That in every dominion of my kingdom men tremble and fear before the God of Daniel: for he is the living God, and stedfast for ever, and his kingdom that which shall not be destroyed, and his dominion shall be even unto the end.

In Context

25Kisha Mfalme Dario akawaandikia kabila zote za watu, mataifa, na watu wa kila lugha katika nchi yote: “Ninyi na mstawi sana!

27Huponya na kuokoa; 2 hufanya ishara na maajabu 2 mbinguni na duniani. 1 Amemwokoa Danieli 2 kutoka nguvu za simba.”

Read all of Daniel 6

Cross References

Deuteronomy 5:26Ni mtu yupi mwenye mwili ambaye amewahi kuisikia sauti ya Mungu aliye hai akizungumza kutoka kwenye moto, kama sisi tulivyoisikia, naye akaishi?

1 Samuel 17:36Mtumishi wako ameshaua simba na dubu pia; huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wa hao, kwa sababu ameyatukana majeshi ya Mungu aliye hai.

Ezra 7:12Artashasta, mfalme wa wafalme, Kwa Ezra kuhani, mwalimu wa Sheria ya Mungu wa mbinguni: Salamu.

Psalms 29:10Bwana huketi akiwa ametawazwa juu ya gharika; 2 Bwana ametawazwa kuwa Mfalme milele. 1

Psalms 99:1Bwana anatawala, 2 mataifa na yatetemeke; 1 anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, 2 dunia na itikisike. 1

Psalms 145:12ili watu wote wajue matendo yako makuu 2 na utukufu wa fahari ya ufalme wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 6:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 6:25Daniel 6Daniel 6:27 →