The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 6 › Daniel 6:27

Daniel 6:27

Huponya na kuokoa; 2 hufanya ishara na maajabu 2 mbinguni na duniani. 1 Amemwokoa Danieli 2 kutoka nguvu za simba.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He delivereth and rescueth, and he worketh signs and wonders in heaven and in earth, who hath delivered Daniel from the power of the lions.

In Context

26“Natoa amri hii, kwamba katika kila sehemu ya ufalme wangu, lazima watu wamwogope na kumheshimu Mungu wa Danieli. 1 “Kwa maana yeye ni Mungu aliye hai, 2 naye hudumu milele, 1 ufalme wake hautaangamizwa, 2 nao utawala wake hauna mwisho. 1

28Hivyo Danieli akastawi wakati wa utawala wa Dario, na utawala wa Koreshi Mwajemi.

Read all of Daniel 6

Cross References

1 Samuel 17:26Daudi akauliza watu waliokuwa wamesimama karibu naye, “Je, atafanyiwa nini mtu atakayemuua huyu Mfilisti na kuondoa aibu hii katika Israeli? Ni nani huyu Mfilisti asiyetahiriwa hata atukane majeshi ya Mungu aliye hai?”

Psalms 18:48aniokoaye na adui zangu. 1 Uliniinua juu ya adui zangu; 2 uliniokoa toka kwa watu wajeuri. 1

Psalms 32:7Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, 2 utaniepusha na taabu 2 na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu. 1

Psalms 97:10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu, 2 kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake 2 na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu. 1

Jeremiah 10:10Lakini Bwana ni Mungu wa kweli, 2 yeye ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele. 1 Anapokasirika, dunia hutetemeka, 2 mataifa hayawezi kustahimili hasira yake.

Daniel 2:44“Katika siku za wafalme hao, Mungu wa mbinguni atauweka ufalme ambao kamwe hautaangamizwa, wala hautaachiwa taifa jingine. Utaziponda zile falme zote na kuzikomesha, bali wenyewe utadumu milele.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 6:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 6:26Daniel 6Daniel 6:28 →