The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 6 › Daniel 6:7

Daniel 6:7

Wasimamizi wa ufalme, wasaidizi, wakuu, washauri na watawala wote wamekubaliana kwamba mfalme atoe sheria na kukazia amri kuwa yeyote atakayetoa dua kwa mungu au mwanadamu yeyote katika muda huu wa siku thelathini zijazo, isipokuwa kwako wewe, ee mfalme, atupwe ndani ya tundu la simba.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All the presidents of the kingdom, the governors, and the princes, the counsellors, and the captains, have consulted together to establish a royal statute, and to make a firm decree, that whosoever shall ask a petition of any God or man for thirty days, save of thee, O king, he shall be cast into the den of lions.

In Context

6Basi wasimamizi na wakuu wakaingia kwa mfalme kama kikundi wakasema, “Ee Mfalme Dario, uishi milele!

8Sasa, ee mfalme, toa amri na uiandike ili isiweze kubadilishwa: kulingana na sheria za Wamedi na Waajemi, ambazo haziwezi kubatilishwa.”

Read all of Daniel 6

Cross References

Psalms 2:2Wafalme wa dunia wanajipanga 2 na watawala wanajikusanya pamoja 1 dhidi ya Bwana 2 na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. 1

Psalms 59:3Tazama wanavyonivizia! 2 Watu wakali wananifanyia hila, 1 ingawa Ee Bwana, mimi sijakosea 2 wala kutenda dhambi. 1

Psalms 62:4Walikusudia kikamilifu kumwangusha 2 toka mahali pake pa fahari; 2 wanafurahia uongo. 1 Kwa vinywa vyao hubariki, 2 lakini ndani ya mioyo yao hulaani. 1

Psalms 83:1Ee Mungu, usinyamaze kimya, 2 usinyamaze, Ee Mungu, usitulie. 1

Daniel 2:4Ndipo wanajimu wakamjibu mfalme kwa lugha ya Kiaramu, + 2:4 Kutoka hapa hadi Dan 7:28, mwandishi aliandika na Kiaramu. “Ee mfalme, uishi milele! Waambie watumishi wako hiyo ndoto, nasi tutaifasiri.”

Daniel 3:6Mtu yeyote ambaye hataanguka chini na kuiabudu sanamu hiyo, atatupwa saa iyo hiyo ndani ya tanuru iwakayo moto.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 6:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 6:6Daniel 6Daniel 6:8 →