Daniel 7:10
Mto wa moto ulikuwa unatiririka, 2 ukipita mbele yake. 1 Maelfu elfu wakamhudumia; 2 kumi elfu mara kumi elfu wakasimama mbele zake. 1 Mahakama ikakaa kuhukumu, 2 na vitabu vikafunguliwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 22:19Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la Bwana: Nilimwona Bwana ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama kumzunguka upande wa kulia na wa kushoto.
Psalms 50:3Mungu wetu anakuja na hatakaa kimya, 2 moto uteketezao unamtangulia, 2 akiwa amezungukwa na tufani kali. 1
Psalms 96:11Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; 2 bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; 1
Psalms 97:3Moto hutangulia mbele zake 2 na huteketeza adui zake pande zote. 1
Isaiah 30:27Tazama, Jina la Bwana linakuja kutoka mbali, 2 likiwa na hasira kali inayowaka 2 pamoja na wingu zito la moshi, 1 midomo yake imejaa ghadhabu 2 na ulimi wake ni moto ulao. 1
Isaiah 66:15Tazama, Bwana anakuja na moto, 2 magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli, 1 atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali, 2 na karipio lake pamoja na miali ya moto. 1