Zaburi 97:3
Moto hutangulia mbele zake 2 na huteketeza adui zake pande zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A fire goeth before him, and burneth up his enemies round about.
In Context
2Mawingu na giza nene vinamzunguka, 2 haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake cha enzi. 1
4Umeme wake wa radi humulika dunia, 2 nchi huona na kutetemeka. 1
Cross References
Deuteronomy 4:11Mlisogea karibu na mkasimama chini ya mlima wakati ulipowaka moto mpaka mbinguni juu, pamoja na mawingu meusi na giza nene.
Deuteronomy 5:4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1
Psalms 18:9Akazipasua mbingu akashuka chini, 2 mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake. 1
Psalms 50:3Mungu wetu anakuja na hatakaa kimya, 2 moto uteketezao unamtangulia, 2 akiwa amezungukwa na tufani kali. 1
Daniel 7:10Mto wa moto ulikuwa unatiririka, 2 ukipita mbele yake. 1 Maelfu elfu wakamhudumia; 2 kumi elfu mara kumi elfu wakasimama mbele zake. 1 Mahakama ikakaa kuhukumu, 2 na vitabu vikafunguliwa.