The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 7 › Daniel 7:13

Daniel 7:13

“Katika maono yangu ya usiku nilitazama, na mbele yangu nikamwona anayefanana na mwanadamu, akija pamoja na mawingu ya mbinguni. Akamkaribia huyo Mzee wa Siku, na akaongozwa mbele zake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I saw in the night visions, and, behold, one like the Son of man came with the clouds of heaven, and came to the Ancient of days, and they brought him near before him.

In Context

12(Wanyama wengine walikuwa wamevuliwa mamlaka yao, lakini waliruhusiwa kuishi kwa muda fulani.)

14Akapewa mamlaka, utukufu na ufalme wenye nguvu; nao watu wa kabila zote, mataifa, na watu wa kila lugha wakamwabudu. Utawala wake ni utawala wa milele ambao hautapita, nao ufalme wake ni ule ambao kamwe hautaangamizwa. 1 Tafsiri Ya Ndoto

Read all of Daniel 7

Cross References

Psalms 2:8Niombe, nami nitayafanya mataifa 2 kuwa urithi wako, 2 miisho ya dunia kuwa milki yako. 1

Psalms 47:5Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, 2 Bwana kwa sauti za tarumbeta. 1

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Ezekiel 1:26Juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao kulikuwa na kitu mfano wa kiti cha enzi cha yakuti samawi. Na juu ya kile kiti cha enzi kulikuwa na umbo mfano wa mwanadamu.

Daniel 7:9“Nilipoendelea kutazama, 1 “viti vya enzi vikawekwa, 2 naye Mzee wa Siku akaketi. 1 Mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji; 2 nywele za kichwa chake zilikuwa nyeupe kama sufu. 1 Kiti chake cha enzi kilikuwa kinawaka kwa miali ya moto, 2 nayo magurudumu yake yote yalikuwa yanawaka moto. 1

Matthew 13:41Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka Ufalme wake kila kitu kinachosababisha dhambi na watenda maovu wote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 7:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 7:12Daniel 7Daniel 7:14 →