Isaiah 9:6
Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 13:18Akamjibu, “Kwa nini unauliza Jina langu? Ni Jina la ajabu.”
2 Samuel 7:16Nyumba yako na ufalme wako utadumu milele mbele zangu, kiti chako cha enzi kitafanywa imara milele.’ ”
1 Kings 2:45Lakini Mfalme Solomoni atabarikiwa, na kiti cha ufalme cha Daudi kitakuwa imara mbele za Bwana milele.”
Nehemiah 9:32“Basi sasa, Ee Mungu wetu, uliye mkuu, mwenye nguvu na Mungu wa kuogofya, mwenye kushika agano lake la upendo, usiache taabu hizi zote zionekane kuwa kitu kidogo mbele za macho yako, taabu hizi zilizotupata, juu ya wafalme wetu na viongozi, juu ya makuhani wetu na manabii, juu ya baba zetu na watu wako wote, tangu siku za wafalme wa Ashuru hadi leo.
Psalms 45:3Jifunge upanga wako pajani mwako, ee mwenye nguvu, 2 jivike fahari na utukufu. 1
Psalms 45:7Unaipenda haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 1 amekuweka juu ya wenzako, 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha. 1