Daniel 7:18
Lakini watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana watapokea ufalme na kuumiliki milele: naam, milele na milele.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17‘Hao wanyama wanne wakubwa ni falme nne zitakazoinuka duniani.
Cross References
Psalms 149:5Watakatifu washangilie katika heshima hii, 2 na waimbe kwa shangwe vitandani mwao. 1
Daniel 7:22mpaka huyo Mzee wa Siku alipokuja na kutamka hukumu kwa kuwapa ushindi watakatifu wa Yeye Aliye Juu Sana, na wakati ukawadia walipoumiliki ufalme.
Obadiah 1:17Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwepo 2 na wale watakaookoka; 2 nao utakuwa mtakatifu, 1 nayo nyumba ya Yakobo 2 itamiliki urithi wake. 1
Ephesians 6:12Kwa maana kushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidi ya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Revelation 2:26“Atakayeshinda na kutenda mapenzi yangu mpaka mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa: 1
Revelation 5:10Wewe umewafanya hawa wawe ufalme na makuhani 2 wa kumtumikia Mungu wetu, 2 nao watatawala duniani.”