Obadia 1:17
Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwepo 2 na wale watakaookoka; 2 nao utakuwa mtakatifu, 1 nayo nyumba ya Yakobo 2 itamiliki urithi wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 4:3Wale watakaoachwa Sayuni, watakaobaki Yerusalemu, wataitwa watakatifu, wale wote ambao wameorodheshwa miongoni mwa walio hai huko Yerusalemu.
Isaiah 46:13Ninaleta haki yangu karibu, 2 haiko mbali; 2 wala wokovu wangu hautachelewa. 1 Nitawapa Sayuni wokovu, 2 Israeli utukufu wangu.
Isaiah 65:9Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, 2 na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu, 1 nao watu wangu wateule watairithi, 2 nako huko wataishi watumishi wangu. 1
Jeremiah 44:14Hakuna hata mmoja wa mabaki ya Yuda ambaye amekwenda kuishi Misri atakayeepuka au kunusurika ili kurudi katika nchi ya Yuda, ambayo wanaitamani sana kurudi na kuishi ndani yake, hakuna hata mmoja atakayerudi isipokuwa wakimbizi wachache.”
Jeremiah 46:28Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, 2 kwa maana mimi niko pamoja nawe,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote 2 ambayo miongoni mwake nimekutawanya, 2 sitakuangamiza wewe kabisa. 1 Nitakurudi, lakini kwa haki tu, 2 wala sitakuacha kabisa bila kukuadhibu.”
Ezekiel 36:12Nitawafanya watu, watu wangu Israeli, kutembea juu yenu. Watawamiliki ninyi, nanyi mtakuwa urithi wao, kamwe hamtawaondolea tena watoto wao.