Daniel 7:2
Danieli akasema: “Katika maono yangu usiku nilitazama, na hapo mbele yangu kulikuwepo na upepo kutoka pande nne za mbingu, ukivuruga bahari kuu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Wanyama wanne wakubwa, kila mmoja tofauti na mwenzake, wakajitokeza kutoka bahari.
Cross References
Jeremiah 51:42Bahari itainuka juu ya Babeli; 2 mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika. 1
Revelation 17:15Kisha yule malaika akaniambia, “Yale maji uliyoyaona yule kahaba akiwa ameketi juu yake ni jamaa, makutano, mataifa na lugha.