The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 7 › Daniel 7:3

Daniel 7:3

Wanyama wanne wakubwa, kila mmoja tofauti na mwenzake, wakajitokeza kutoka bahari.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And four great beasts came up from the sea, diverse one from another.

In Context

2Danieli akasema: “Katika maono yangu usiku nilitazama, na hapo mbele yangu kulikuwepo na upepo kutoka pande nne za mbingu, ukivuruga bahari kuu.

4“Mnyama wa kwanza alifanana na simba, naye alikuwa na mabawa kama ya tai. Nikatazama mpaka mabawa yake yalipongʼolewa, naye akainuliwa katika nchi, akasimama kwa miguu miwili kama mwanadamu, naye akapewa moyo wa binadamu.

Read all of Daniel 7

Cross References

Ezekiel 19:3Alimlea mmoja wa watoto wake, 2 naye akawa simba mwenye nguvu. 1 Akajifunza kurarua mawindo 2 naye akala watu. 1

Daniel 2:37Ee mfalme, wewe ni mfalme wa wafalme. Mungu wa mbinguni amekupa wewe utawala, uweza, nguvu na utukufu.

Daniel 7:17‘Hao wanyama wanne wakubwa ni falme nne zitakazoinuka duniani.

Revelation 13:1Yule joka akajikita katika mchanga ulioko ufuoni mwa bahari. 1 Mnyama Kutoka Baharini Nami nikamwona mnyama akitoka ndani ya bahari. Mnyama huyo alikuwa na pembe kumi na vichwa saba, akiwa na taji kumi kwenye hizo pembe zake, na juu ya kila kichwa kulikuwa na jina la kukufuru.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 7:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 7:2Daniel 7Daniel 7:4 →