Daniel 9:13
Kama vile ilivyoandikwa katika sheria ya Mose, misiba hii yote imekuja juu yetu, lakini hatujaomba fadhili kwa Bwana Mungu wetu kwa kugeuka kutoka dhambi zetu na kuwa wasikivu katika kweli yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:23“ ‘Ikiwa pamoja na mambo haya hamtakubali maonyo yangu lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Deuteronomy 29:4Lakini mpaka leo Bwana hajawapa akili ya kuelewa au macho yanayoona au masikio yanayosikia.
Job 36:13“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; 2 hata anapowafunga, hawamwombi msaada. 1
Psalms 119:18Yafungue macho yangu nipate kuona 2 mambo ya ajabu katika sheria yako. 1
Psalms 119:73Mikono yako ilinifanya na kuniumba, 2 nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. 1
Isaiah 42:9Tazama, mambo ya kwanza yametokea, 2 nami natangaza mambo mapya; 1 kabla hayajatokea 2 nawatangazia habari zake.” 1 Wimbo Wa Kumsifu Bwana 1