The Bible Software
bible.softwareDanielDaniel 9 › Daniel 9:14

Daniel 9:14

Bwana hakusita kuleta maafa juu yetu, kwa maana Bwana Mungu wetu ni mwenye haki katika kila afanyalo; lakini hata hivyo hatujamtii.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore hath the LORD watched upon the evil, and brought it upon us: for the LORD our God is righteous in all his works which he doeth: for we obeyed not his voice.

In Context

13Kama vile ilivyoandikwa katika sheria ya Mose, misiba hii yote imekuja juu yetu, lakini hatujaomba fadhili kwa Bwana Mungu wetu kwa kugeuka kutoka dhambi zetu na kuwa wasikivu katika kweli yake.

15“Sasa, Ee Bwana Mungu wetu, ambaye uliwatoa watu wako Misri kwa mkono wenye nguvu, na ambaye umejifanyia Jina linalodumu mpaka leo, tumetenda dhambi, tumefanya mabaya.

Read all of Daniel 9

Cross References

Exodus 9:27Ndipo Farao akawaita Mose na Aroni akawaambia, “Wakati huu nimetenda dhambi. Bwana ni mwenye haki, mimi na watu wangu ni wakosaji.

Nehemiah 9:33Katika hayo yote yaliyotupata, umekuwa mwenye haki, na umetenda kwa uaminifu, wakati sisi tumetenda mabaya.

Psalms 111:7Kazi za mikono yake ni za uaminifu na haki, 2 mausia yake yote ni ya kuaminika. 1

Jeremiah 4:17Wamemzunguka kama watu walindao shamba, 2 kwa sababu amefanya uasi dhidi yangu,’ ” 4 asema Bwana. 1

Jeremiah 31:28Kama vile nilivyowaangalia ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu, kuangamiza na kuleta maafa juu yao, vivyo hivyo nitawaangalia ili kujenga na kupanda,” asema Bwana.

Lamentations 1:5Adui zake wamekuwa mabwana zake, 2 watesi wake wana raha. 1 Bwana amemletea huzuni 2 kwa sababu ya dhambi zake nyingi. 1 Watoto wake wamekwenda uhamishoni, 2 mateka mbele ya adui. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Daniel 9:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Daniel 9:13Daniel 9Daniel 9:15 →