The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 1 › Kumbukumbu 1:45

Kumbukumbu 1:45

Mlirudi na kulia mbele za Bwana, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye returned and wept before the LORD; but the LORD would not hearken to your voice, nor give ear unto you.

In Context

44Waamori ambao waliishi katika vilima hivyo waliinuka dhidi yenu, wakawafukuza kama kundi la nyuki wakiwapiga njia yote ya Seiri mpaka Horma.

46Hivyo mlikaa Kadeshi kwa siku nyingi, kwa muda ule wote mliokaa huko.

Read all of Kumbukumbu 1

Cross References

Proverbs 1:25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote 2 na hamkukubali karipio langu, 1

Hebrews 12:17Baadaye kama mnavyofahamu, alipotaka kurithi ile baraka, alikataliwa, maana hakupata nafasi ya kutubu, ingawa aliitafuta kwa machozi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 1:45

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 1:44Kumbukumbu 1Kumbukumbu 1:46 →