Waebrania 12:17
Baadaye kama mnavyofahamu, alipotaka kurithi ile baraka, alikataliwa, maana hakupata nafasi ya kutubu, ingawa aliitafuta kwa machozi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Hamjaufikia mlima ule uwezao kuguswa na ambao unawaka moto; wala kwenye giza, utusitusi na dhoruba;
Cross References
Proverbs 1:24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita 2 na hakuna yeyote aliyekubali 2 niliponyoosha mkono wangu, 1
Matthew 7:23Ndipo nitakapowaambia wazi, ‘Sikuwajua kamwe. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’ 1 Msikiaji Na Mtendaji (Luka 6:47-49)
Luke 13:24Yesu akawaambia, “Jitahidini sana kuingia kupitia mlango mwembamba, kwa maana nawaambia wengi watajaribu kuingia, lakini hawataweza.
Hebrews 6:8Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini ya kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.