Kumbukumbu 10:4
Bwana akaandika juu ya hivi vibao kile alichokuwa amekiandika kabla, Amri Kumi alizokuwa amewatangazia juu mlimani, kutoka kwenye moto siku ile ya kusanyiko. Bwana akanikabidhi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:1Ndipo Mungu akasema maneno haya yote: 1
Exodus 34:28Mose alikuwa huko pamoja na Bwana kwa siku arobaini usiku na mchana bila kula chakula wala kunywa maji. Naye akaandika juu ya vibao maneno ya Agano, yaani zile Amri Kumi. 1 Mngʼao Wa Uso Wa Mose
Deuteronomy 4:12Ndipo Bwana alipozungumza nanyi kutoka moto. Mkasikia sauti ya maneno lakini hamkuona umbo, kulikuwa na sauti tu.
Deuteronomy 5:4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Deuteronomy 18:16Kwa kuwa hivi ndivyo mlivyomwomba Bwana Mungu wenu kule Horebu siku ile ya kusanyiko, wakati mliposema, “Na tusiisikie sauti ya Bwana Mungu wetu, wala kuuona moto huu mkubwa tena, ama sivyo tutakufa.”