Kumbukumbu 4:12
Ndipo Bwana alipozungumza nanyi kutoka moto. Mkasikia sauti ya maneno lakini hamkuona umbo, kulikuwa na sauti tu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 12:8Kwake nitanena naye uso kwa uso, 2 waziwazi wala si kwa mafumbo; 2 yeye ataona umbo la Bwana. 1 Kwa nini basi ninyi hamkuogopa 2 kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Mose?”
Deuteronomy 4:33Je, kuna watu wengine wowote waliosikia sauti ya Mungu ikizungumza kwenye moto, kama mlivyosikia, nao wakaishi?
Deuteronomy 5:4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Deuteronomy 9:10Bwana alinipa mbao mbili za mawe zilizoandikwa kwa kidole cha Mungu. Juu ya mbao hizo kulikuwepo amri zote ambazo Bwana aliwatangazia kule mlimani kwa njia ya moto, siku ya kusanyiko.
1 Kings 19:12Baada ya tetemeko la nchi ukaja moto, lakini Bwana hakuwamo katika ule moto. Baada ya moto ikaja sauti ya utulivu ya kunongʼona.
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1