Kumbukumbu 11:18
Yawekeni haya maneno yangu katika mioyo yenu na akili zenu, yafungeni kama alama juu ya mikono yenu na kwenye paji za nyuso zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 13:16Jambo hili litakuwa kama ishara kwenye mkono wako na kama alama kwenye paji la uso wako, kwamba Bwana alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.” 1 Nguzo Ya Wingu Na Moto
Deuteronomy 6:9Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.
Psalms 119:11Nimelificha neno lako moyoni mwangu 2 ili nisikutende dhambi. 1
Proverbs 6:20Mwanangu, zishike amri za baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1
Proverbs 7:3Yafunge katika vidole vyako; 2 yaandike katika kibao cha moyo wako. 1
Colossians 3:16Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.