The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 6 › Kumbukumbu 6:9

Kumbukumbu 6:9

Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thou shalt write them upon the posts of thy house, and on thy gates.

In Context

8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako.

10Wakati Bwana Mungu wako atakapokuleta katika nchi aliyowaapia baba zako, Abrahamu, Isaki na Yakobo, kukupa wewe, nchi kubwa, ina miji inayopendeza ambayo hukuijenga,

Read all of Kumbukumbu 6

Cross References

Exodus 12:7Ndipo watakapochukua baadhi ya hiyo damu na kuipaka kwenye vizingiti vya juu na miimo ya milango ya nyumba ambamo watakula wana-kondoo hao.

Deuteronomy 11:20Yaandikeni juu ya miimo ya nyumba zenu na juu ya malango yenu,

Isaiah 30:8Nenda sasa, liandike neno hili juu ya kibao kwa ajili yao, 2 liandike kwenye kitabu, 1 ili liweze kuwa shahidi milele 2 kwa ajili ya siku zijazo. 1

Habakkuk 2:2Kisha Bwana akajibu: 1 “Andika ufunuo huu, 2 na ukaufanye wazi juu ya vibao, 2 ili mpiga mbiu akimbie nao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 6:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 6:8Kumbukumbu 6Kumbukumbu 6:10 →