Kumbukumbu 11:7
Bali ilikuwa ni macho yenu wenyewe ambayo yaliyaona mambo haya yote makuu Bwana aliyoyatenda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But your eyes have seen all the great acts of the LORD which he did.
In Context
Cross References
Deuteronomy 4:3Mliona kwa macho yenu wenyewe kile Bwana alichokifanya kule Baal-Peori. Bwana Mungu wenu aliwaangamiza kutoka miongoni mwenu kila mmoja aliyemfuata Baali wa Peori,
Deuteronomy 7:19Mliona kwa macho yenu wenyewe majaribu makubwa, ishara za miujiza na maajabu, mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, ambao kwa huo Bwana Mungu wenu aliwatoa mtoke Misri. Bwana Mungu wenu atawafanyia hivyo watu wote ambao mnawaogopa sasa.
Deuteronomy 29:2Mose akawaita Waisraeli wote akawaambia: Macho yenu yameona yale yote Bwana aliyofanya kwa Mfalme Farao huko Misri, kwa maafisa wake wote na kwa nchi yake yote.
Psalms 106:2Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya Bwana 2 au kutangaza kikamilifu sifa zake? 1
Psalms 145:12ili watu wote wajue matendo yako makuu 2 na utukufu wa fahari ya ufalme wako. 1