Deuteronomy 29:2
Mose akawaita Waisraeli wote akawaambia: Macho yenu yameona yale yote Bwana aliyofanya kwa Mfalme Farao huko Misri, kwa maafisa wake wote na kwa nchi yake yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Kwa macho yenu wenyewe mliona yale majaribu makubwa, ishara zile za miujiza na maajabu makubwa.
Cross References
Exodus 19:4‘Ninyi wenyewe mmeona nililofanya huko Misri, jinsi nilivyowabeba kwenye mbawa za tai na kuwaleta kwangu.
Deuteronomy 11:7Bali ilikuwa ni macho yenu wenyewe ambayo yaliyaona mambo haya yote makuu Bwana aliyoyatenda.
Joshua 24:17Bwana Mungu wetu mwenyewe ndiye alitutoa sisi na baba zetu akatupandisha kutoka Misri, kutoka nchi ile ya utumwa, na kutenda zile ishara kubwa mbele ya macho yetu. Ndiye aliyetulinda katika safari yetu yote na kutokana na mataifa yote ambayo tulipita katikati yao.
Psalms 78:43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, 2 maajabu yake huko Soani. 1
Isaiah 42:20Mmeona vitu vingi, lakini hamkuzingatia; 2 masikio yenu yako wazi, lakini hamsikii chochote.” 1