Kumbukumbu 12:32
Angalieni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What thing soever I command you, observe to do it: thou shalt not add thereto, nor diminish from it.
In Context
Cross References
Deuteronomy 13:18kwa sababu mnamtii Bwana Mungu wenu, mkizishika amri zake zote zile ninazowapa leo na kufanya lile lililo jema machoni pake.
Joshua 1:7Uwe hodari na uwe na ushujaa mwingi. Uwe na bidii kutii sheria yote aliyokupa Mose mtumishi wangu, usiiache kwa kugeuka kuelekea kuume au kushoto, ili upate kufanikiwa popote uendako.
Proverbs 30:6Usiongeze kwenye maneno yake, 2 ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 1
Revelation 22:18Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.