Proverbs 30:6
Usiongeze kwenye maneno yake, 2 ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Add thou not unto his words, lest he reprove thee, and thou be found a liar.
In Context
5“Kila neno la Mungu ni kamilifu; 2 yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 1
7“Ninakuomba vitu viwili, Ee Bwana; 2 usininyime kabla sijafa: 1
Cross References
Deuteronomy 12:32Angalieni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu.
Job 13:7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? 2 Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 1
Revelation 22:18Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.