Deuteronomy 14:13
kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the glede, and the kite, and the vulture after his kind,
In Context
12Lakini wafuatao msiwale: tai, furukombe, kipungu,
Cross References
Isaiah 34:15Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, 2 atayaangua na kutunza makinda yake 2 chini ya uvuli wa mabawa yake; 1 pia huko vipanga watakusanyika, 2 kila mmoja na mwenzi wake.