bible.software › Isaya › Isaya 34 › Isaya 34:15
Isaya 34:15
Bundi wataweka viota huko na kutaga mayai, 2 atayaangua na kutunza makinda yake 2 chini ya uvuli wa mabawa yake; 1 pia huko vipanga watakusanyika, 2 kila mmoja na mwenzi wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There shall the great owl make her nest, and lay, and hatch, and gather under her shadow: there shall the vultures also be gathered, every one with her mate.
In Context
14Viumbe vya jangwani vitakutana na fisi, 2 nao mbuzi-mwitu watalia wakiitana; 1 huko viumbe vya usiku vitastarehe pia 2 na kujitafutia mahali pa kupumzika. 1
16Angalieni katika gombo la Bwana na msome: 1 Hakuna hata mmoja katika hawa atakayekosekana, 2 hakuna hata mmoja atakayemkosa mwenzi wake. 1 Kwa kuwa ni kinywa chake Mungu kimeagiza, 2 na Roho wake atawakusanya pamoja. 1
Read all of Isaya 34
This Verse In Other Editions
Study Isaya 34:15