Kumbukumbu 16:11
Shangilieni mbele za Bwana Mungu wenu mahali atakapopachagua kama makao ya Jina lake, ninyi, wana wenu na binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, Walawi walio katika miji yenu, na wageni, yatima na wajane waishio miongoni mwenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 12:7Hapo, katika uwepo wa Bwana Mungu wenu, ninyi pamoja na jamaa zenu, mtakula na kufurahia kila kitu ambacho mmegusa kwa mikono yenu, kwa sababu Bwana Mungu wenu amewabariki.
Deuteronomy 12:18Badala yake, mtakula vitu hivyo katika uwepo wa Bwana Mungu wenu mahali ambapo Bwana Mungu wenu atapachagua: wewe, wana wako na binti zako, watumishi wako wa kiume na wa kike, na Walawi kutoka miji yenu. Mnatakiwa mfurahi mbele za Bwana Mungu wenu kwa kula kitu mtakachoweka mikono yenu.
Deuteronomy 16:14Mfurahie sikukuu yenu, ninyi, wana wenu, binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, Walawi, wageni, yatima na wajane ambao wanaishi katika miji yenu.
Isaiah 66:10“Shangilieni pamoja na Yerusalemu na mfurahi kwa ajili yake, 2 ninyi nyote mnaompenda, 1 shangilieni kwa nguvu pamoja naye, 2 ninyi nyote mnaoomboleza juu yake. 1
Habakkuk 3:18hata hivyo nitashangilia katika Bwana, 2 nitamfurahia Mungu Mwokozi wangu. 1
2 Corinthians 1:24Si kwamba tunatawala imani yenu, bali twatenda kazi pamoja nanyi kwa ajili ya furaha yenu, kwa sababu ni kwa imani mwasimama imara.