Kumbukumbu 18:6
Ikiwa Mlawi atahama kutoka mmojawapo ya miji yenu popote katika Israeli ambapo anaishi, akaja kwa moyo wote mahali ambapo Bwana atapachagua,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 35:2“Waagize Waisraeli kuwapa Walawi miji ya kuishi kutoka urithi ambao Waisraeli wataumiliki. Wape maeneo ya malisho kuzunguka hiyo miji.
Deuteronomy 12:5Bali mtatafuta mahali Bwana Mungu wenu atakapopachagua katika makabila yenu yote ili aliweke jina lake huko kuwa makao yake. Mahali hapo ndipo iwapasapo kwenda;
Deuteronomy 12:14Mtazitoa tu mahali pale ambapo Bwana atachagua katika mojawapo ya makabila yenu, nanyi hapo zingatieni kila jambo ninalowaamuru.
Psalms 26:8Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi, 2 mahali ambapo utukufu wako hukaa. 1
Psalms 63:1Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, 2 nakutafuta kwa moyo wote; 1 nafsi yangu inakuonea kiu, 2 mwili wangu unakuonea wewe shauku, 1 katika nchi kame na iliyochoka 2 mahali ambapo hapana maji. 1
Psalms 84:10Siku moja katika nyua zako ni bora 2 kuliko siku elfu mahali pengine; 1 afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu 2 kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 1