bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 18 › Kumbukumbu 18:7
Kumbukumbu 18:7
anaweza akahudumu katika jina la Bwana Mungu wake kama Walawi wenzake wote wanaohudumu hapo mbele za Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then he shall minister in the name of the LORD his God, as all his brethren the Levites do, which stand there before the LORD.
In Context
6Ikiwa Mlawi atahama kutoka mmojawapo ya miji yenu popote katika Israeli ambapo anaishi, akaja kwa moyo wote mahali ambapo Bwana atapachagua,
8Atashiriki sawa katika mafao yao, hata kama amepokea fedha kutoka mauzo ya mali ya jamaa yake. 1 Matendo Ya Machukizo
Read all of Kumbukumbu 18
Cross References
2 Chronicles 31:2Hezekia akawapanga makuhani na Walawi katika migawanyo, kila mgawanyo kulingana na wajibu wao, kama ni makuhani au Walawi, ili kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani, kuhudumu, kushukuru na kuimba sifa katika malango ya makao ya Bwana.
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 18:7