The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 19 › Kumbukumbu 19:2

Kumbukumbu 19:2

ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa kuimiliki.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt separate three cities for thee in the midst of thy land, which the LORD thy God giveth thee to possess it.

In Context

1Wakati Bwana Mungu wenu atakapokuwa amewaangamiza mataifa ambayo nchi yao anawapa ninyi, wakati mtakapokuwa mmewafukuza na kuishi katika miji yao na nyumba zao,

3Jengeni barabara katika miji hiyo na kuigawa mara tatu, nchi anayowapa Bwana Mungu wenu kama urithi, ili kwamba yeyote amuuaye mtu aweze kukimbilia humo.

Read all of Kumbukumbu 19

Cross References

Numbers 35:10“Sema na Waisraeli, uwaambie: ‘Mtakapovuka Yordani kuingia Kanaani,

Deuteronomy 4:41Kisha Mose akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani,

Joshua 20:2“Waambie Waisraeli, watenge miji mikubwa ya kukimbilia, kama nilivyokuagiza kupitia Mose,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 19:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 19:1Kumbukumbu 19Kumbukumbu 19:3 →