The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 19 › Kumbukumbu 19:20

Kumbukumbu 19:20

Watu watakaosalia watasikia hili na kuogopa, uovu kama huo kamwe hautatendeka tena miongoni mwenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And those which remain shall hear, and fear, and shall henceforth commit no more any such evil among you.

In Context

19basi mtende kama alivyotaka kumtendea ndugu yake. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.

21Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

Read all of Kumbukumbu 19

Cross References

Deuteronomy 13:12Kama mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo Bwana Mungu wenu anawapa mkae ndani yake

Deuteronomy 17:13Watu wote watasikia na kuogopa, nao hawatakuwa wenye kudharau tena. 1 Mfalme

Proverbs 21:11Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, 2 mjinga hupata hekima; 1 wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, 2 hupata maarifa. 1

1 Timothy 5:20Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 19:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 19:19Kumbukumbu 19Kumbukumbu 19:21 →