Proverbs 21:11
Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, 2 mjinga hupata hekima; 1 wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, 2 hupata maarifa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Mtu mwovu hutamani sana ubaya, 2 jirani yake hapati huruma kutoka kwake. 1
12Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, 2 naye atawaangamiza waovu. 1
Cross References
Numbers 16:34Kutoka kilio chao, Waisraeli wote waliowazunguka walikimbia, wakipaza sauti, “Nchi inatumeza na sisi pia!”
Deuteronomy 21:21Kisha wanaume wote wa mjini mwake watampiga kwa mawe mpaka afe. Ndivyo imewapasa kuondoa maovu kati yenu. Israeli yote itasikia hili na kuogopa. 1 Sheria Mbalimbali
Proverbs 1:5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, 2 wenye kupambanua na wapate mwongozo; 1
Proverbs 15:14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. 1
Proverbs 18:15Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa, 2 masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa. 1
Acts 5:5Anania aliposikia maneno haya akaanguka chini na kufa. Hofu kuu ikawapata wote waliosikia jambo lililokuwa limetukia.