The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 2 › Kumbukumbu 2:15

Kumbukumbu 2:15

Mkono wa Bwana uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For indeed the hand of the LORD was against them, to destroy them from among the host, until they were consumed.

In Context

14Miaka thelathini na minane ilipita tangu wakati tulipoondoka Kadesh-Barnea mpaka tulipovuka Bonde la Zeredi. Kwa wakati huo kile kizazi chote cha wanaume kuanzia wale wawezao kwenda vitani kilikuwa kimekufa, kama Bwana alivyokuwa amewaapia.

16Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa,

Read all of Kumbukumbu 2

Cross References

1 Samuel 5:6Mkono wa Bwana ulikuwa mzito juu ya watu wa Ashdodi na vijiji jirani, akaleta uharibifu juu yao na kuwatesa kwa majipu.

1 Samuel 5:11Basi wakawaita watawala wote wa Wafilisti pamoja na kusema, “Liondoeni Sanduku la Mungu wa Israeli na lirudishwe mahali pake, la sivyo litatuua sisi na watu wetu.” Kwa kuwa kifo kilikuwa kimeujaza mji hofu; kwani mkono wa Mungu ulikuwa mzito sana juu yake.

Psalms 32:4Usiku na mchana 2 mkono wako ulinilemea, 1 nguvu zangu zilinyonywa 2 kama vile katika joto la kiangazi. 1

Psalms 90:7Tumeangamizwa kwa hasira yako 2 na tumetishwa kwa ghadhabu yako. 1

Isaiah 66:14Wakati mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia, 2 nanyi mtastawi kama majani; 1 mkono wa Bwana utajulikana kwa watumishi wake, 2 bali ghadhabu yake kali 2 itaonyeshwa kwa adui zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 2:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 2:14Kumbukumbu 2Kumbukumbu 2:16 →